JAJI MKUU WA ZANIZBAR,OMAR OTHMAN MAKUNGUAZINDUA RIPOTI YA HAKI ZABINAADAMU

Leave a Comment

Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman
Makungu akitoa hotuba kwenye uzinduzi wa
ripoti hiyo jana. Sherehe ya uzinduzi wa
Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa
mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa
Kituo cha Huduma za Sheria, Migombani
mjini Zanzibar jana.
Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman
Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya
Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka
2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo
cha Huduma za Sheria Migombani mjini
Zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba..
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment