Klabu ya manchester United
ilishindwa kwa mara ya tatu mfululizo huku timu ya West Bromwich
ikisongea juu ya jedwali la ligi ya Uingereza na hivyobasi kukwepa
kushushwa katika ligi hiyo.Hatahivyo Manchester United ilitarajiwa kusawazisha baada ya kupata penalti lakini mkwaju huo wa mshambuliaji Robin Van Persie ulipanguliwa na kipa wa West Brom.Van Persie alikosa bao jingine baada ya kipa kuokoa mkwaju aliopiga.
Kwa sasa Manchester United iko juu ya Liverpool kwa pointi nne pekee katika nafasi ya nne.
0 comments:
Post a Comment