Mke wa aliyekuwa nahodha wa kikosi cha Manchester United pamoja na timu ya Uingereza Rio Ferdinand amefariki kutokana na saratani.Marehemu Elison mwenye umri wa miaka 34 aliyeoana na Ferdinand mwaka 2009 alikuwa akiugua saratani ya titi.

''Rebecca,mkewe wangu alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi na saratani katika hospitali ya Royal Marsden mjini London'',alisema mchezaji huyo wa soka
0 comments:
Post a Comment