kabla ya kuanza safari matukio tofauti ya upigaji wa picha mbalimbali yakiendelea |
kameraman naye hakuwa mbali kwenye picha za mapozi ya kizamani |
upigaji wa picha uliendelea zaidi
hapa mahojiano na baadhi ya wanachuo yalianza rasmi |
safari ilianza rasmi |
baada ya safari kuanza |
walipowasili kituoni hapo |
mkuu wa msafara akiweka sahihi katika kitabu cha wageni |
kiongozi wa serikali ya wanachuo akisaini |
mwenyeji wa kituo akitoa maelekezo |
furaha iliendelea zaidi na kufurahia na watoto
mmoja wa wahudumu wa afya wa kituo akitoa maelekezo
kameraman wetu akiwa kazini
watoto wakitoa shukrani
mahojiano yaliendelea
baadhi ya vitu walivyojitolea |
wakiwa na mmoja wa waandishi wa habari |
0 comments:
Post a Comment