Manispaa ya Bukoba wametoa msaada wa
chakula kwa kaya 30 walioathirika na mafuriko yaliyosababishwa na mvua
kubwa iliyonyesha tarehe 8-5-2015,Msaada wa chakula kilichotolewa ni
unga wa mahindi kilo 600 na maharage kilo 300, akikabidhi vyakula hivyo
kwa waanga mkuu wa wilaya ya Bukoba Jackson Msomi amewashukuru Manispaa
ya Bukoba kuonyesha jitihada za awali za kusaidia waanga na kuwaomba
wadau mbalimbali kuendelea kusaidia.
Bw Jumanne Bingwa akisaidia kushusha vyakula.
Hali inaelekea kuwa shwari kwenye maeneo ya makazi ya watu.
Waanga.
Kamati ya maafa ya kata ya Miembeni.
Mkuu wa wilaya Bukoba akiongea na wananchi.
0 comments:
Post a Comment