Ameaandika jokate kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram.
Washindi wengine wa tuzo hizo zilizotolewa usiku wa jana, katika upande wa Bongo Movies ni kama ifuatavyo.
1. People’s Choice Award – MR. KADAMANJA
2. Best Film in Sound – SAMAKI MCHANGANI
3. Best Cinematography – DADDY’S WEDDING
4. Best Actress – JOKATE MWEGELO in Mikono Salama
5. Best Actor – ADAM KUAMBIANA in Mr.Kadamanja
6. Best Director – HONEYMOON MOHAMED Daddy’s Wedding
7. Best Feature Film – KUTAKAPOKUCHA
Hongereni washindi.
26.07.2015 - Tags:
JOKATE
0 comments:
Post a Comment