Edward Ngoyai Lowassa.Edward Ngoyayi Lowassa, amezaliwa Agosti 26 1953 ni mwanasiasa mkongwe hapa nchini.
Aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa kumi wa Tanzania Desemba 30, 2005 na kujiuzulu miaka miwili baadaye yaani Februari 7 Februari 2008 kwa kutajwa nakamati ya bunge ya uchunguzi katika utoaji wa tenda kwa kampuni ya umeme ya Richmond kutokana na uzembe wa watendaji walio chini yake.
Lowassa ana shahada mbili kutoka chuo kikuu cha Dar es
Salaam na Chuo Kikuu cha Hull nchini Uingereza ambapoalichukua shahada
ya pili ya Sayansi ya Maendeleo ya Jamii.
Nafasi ambazo Lowassa amewahi kushika ni pamoja na Waziri
wa ardhi na makazi (1993 - 1995),Waziri wa Maji na Mifugo (2000 -
2005).Nafasi nyingine ni pamoja naNyadhifa nyinginezoWaziri mdogo wa
haki na mambo ya bunge katika ofisi ya Makamu wa Rais (1990-1993).
Mkurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (1989-
1990)Waziri mdogo wa mazingira na mapambano dhidi ya umasikini katika
ofisi ya Makamu wa Rais (1988-2000) Mbunge wa Monduli tangu 1990-2015.
Kete anayojivunia Lowassa nipamoja na kubuni na kusimamia uanzishwaji wa shule ya sekondari za Kata kote nchini, pamoja na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). .
Anasifika kwa kuwa na uamuzi madhubuti na usio yumba, husimamia kile anachoamini
0 comments:
Post a Comment