ZITTO "CHADEMA WAMENUNULIWA"

Leave a Comment

 http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto--30march2015.jpg

Mwaka 2010 Zitto chama chake cha zaman chademai waliweka katika Ilani yao ya Uchaguzi kupinga posho kama hatua ya kubana matumizi ya Serikali.

Wakakubaliana kuwa wabunge wa chama chao hawatapokea posho ya kukaa (sitting allowance). Hata hivyo, ilipokuja katika utekelezaji wenzake wote wakagwaya na Ndugu Zitto Kabwe ni mbunge pekee aliyepinga posho za vikao na kuzikataa kata kata kwa miaka mitano (5) mfululizo, ambazo ni takribani shilingi milioni 21 kila mwaka.

Katika kipindi hicho cha miaka mitano Zitto alikaa kuchukua jumla ya Shilingi Milioni Mia Moja na Tano (105,000,000)!! Kukataa pesa yote hii kwa sababu ya ‘principle’ tu ni jambo nadra sana kutokea katika mazingira yetu. Zitto anatembea maneno yake. Zitto anatenda anayonena. Sasa kwa yote hata kwa nini wachumia tumbo wasimchukie wenye roho zao za kwa nini?

Ndugu wana jf
Huyu ndio Kiongozi wa ACT. Leo amekataa kuungana na ukawa ili Lowasa awe mgombea wa urais wa Ukawa, sababu kubwa kuwa Lowasa walikuwa wakimtuhumu kuwa fisadi lakini leo amekuwa mtakatifu, na hata wakati wa mchakato wa ccm walikuwa wakilalamika juu ya ufisadi na pesa zilizokuwa zinamwagwa na Lowasa, bila aibu ukawa wamekubali kula matapishi yao kwa sababu ya kununuliwa na mafisadi,

mwisho nampongeza Zitto kwa kukataa kununuliwa na mafisadi na watanzania. Ukawa aoibu kwenu kwa kula matapishi yenu.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment