Jackline Wolper Atangaza Kujiita ‘Jackline Lowassa’ Kupitia Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa Dar es salaam

Leave a Comment


Mastaa wa Bongo Movies, Jackline Wolper , Aunt Ezekiel na Shamsa Ford ambao wamekuwa wakimuunga mkono mgombea urasi wa UKAWA kupitia tiketi ya CHADEMA, Mh Edward Lowassa siku ya jana kwenye  Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Millenium Tower, mbali na kuelezea kumuunga mkono mgombea huyo  mastaa  kumzawadia keki ya ‘Birthday’ ya kutimiza 62 ya kuzaliwa ya mgombea huyo.
 
Akiongea kwenye mkutano huo wolper alitangaza kuanzia jana atakuwa akiitwa Jackline Lowassa na kusisistiza kuwa Lowassa ndiyo Rais wake.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment