Shirikisho la Soka
duniani Fifa imetoa orodha ya Ubora Duniani kwa mwezi wa Nane ambapo
Argentina inaongoza ikiwa nafasi ya kwanza.
Ubelgiji wao wako katika nafasi ya pili huku mabingwa wa dunia Ujerumani wakiwa katia nafasi ya tatu.
Kwa
Afrika, Nchi za juu kabisa ni zile zile na zimeshika Nafasi hizo hizo
za Mwezi uliopita na hizo ni Algeria ambao wako Nafasi ya 19 wakifuaťiwa
na Ivory Coast ambao ni wa 21.

Orodha ya ubora duniani
1 Argentina
2 Belgium
3 Germany
4 Colombia
5 Brazil
6 Portugal
7 Romania
8 Chile
9 Wales
10 England
0 comments:
Post a Comment